Handling money when young
Kuna post nimepatana nayo hapa Reddit mse amechapa story ya vile alipata Mita...he used up the money ikaisha na akarudi vile alikua, bila pesa. So as a young person (under 30) ukipata a million shillings or so sai what will you do with it?