Unafanya kazi ya aina gani?

I had been jobless for a while untill nikasema enough is enough kwani ni lazima niandikwe? So sahizi Niko na kakazi hapa town ya kubebea watu mizigo na trolley sometimes kunakuanga na kazi but sometimes inaisha ni kawaida ya biz. Hio ndio inanilisha manze I'm proud although my degree in bcom is useless but at least Niko na kakazi plus, if uko Nairobi cbd na uko na kamzigo kazito unaeza NI DM nikubebe at only 100sh (depending on the weight)