As a man usiwahi kubali hizi vitu....
number 1. Kuwekwa na manzi 2. Kuomba manzi yako dooh.
So jana nilikuwa nimeenda kugongea jamaa fulani manzi na nikagonga tu venye ilikuwa inafaa. Usiku sasa tukibonga, nikauliza dem sasa boy wake akitupata hapa sasa itakuwaje, akasema hakuna kitu atafanya she added to say he'll just leave juu hao ni ya dem na everything else hapo ni ya dem pia. Kumbe jamaa alikuwa amewekwa. Mi nikajiambia kimoyomoyo, "This man must be a lucky man" juu gharama most iko kwa dem.
Tukiendelea kupiga story, akanishoo ati boy wake ako night shift na akitoka anakuja kuosha nguo za uyu dem. Alikuwa night ndio maana nilipata chance ya kumgongea. Anyway, ati jamaa anakuja kuosha nguo.... nguo msee! Mi nikachill tu na kimoyomoyo nikajiambia 'can never be me! Heri nioshe zile vyombo mlikuwa mnasema kuliko nifulie mtu nguo.
Lakini baada ya kufikiria kidogo, nikajiuliza, "Kama ingekuwa mimi ningekataa kweli yet nimeeka" nikaona ni ngumu kuwa position ya uyu msee. Unawekwa lakini kwa gharama gani?
So guys be cautious na hizo favour unafanyiwa juu heshima inaenda bana. Thomas Sankara once said "He who feeds you controls you!"
What do you guys think? 😂 let me hear your opinions in the comments section.