I'm never buying pillows from hawkers again
Nimetoka vizuri nimepatana na msee wa pillows he has very nice pillows, nikasema let me add 2 for my bed. Nazilalia naskia moja yao inanuka mavi.
Sijui kama alipanguza mtoto mavi na hii pillow ama namna gani. Nimeiosha haiwachi kunuka nimebakisha kuichoma sasa nkts😔